| |
|
|
|
|
|
|
| |
| |
Hatua za Utekelezaji wa MKURABITA
Mpango huu unafuata mfumo wa kipekee ulioundwa ba Taasisi ya Uhuru na Demokrasia (Institute of Liberty and Democracy - ILD) iliyopo Lima nchini Peru. Utekelezaji wake umegawanyika katika hatua kuu nne, nazo ni:
• Tathmini ya sekta isiyo rasmi
• Maandalizi ya Maboresho
• Utekelezaji wa Maboresho
• Kuimarika kwa Mitaji na Utawala Bora
|
|
|
| |
- Hakikisha kuwa mipaka ya kijiji imehakikiwa na kupimwa ipasavyo ili kuepusha migogoro ya mipaka na vijiji jirani
- Kijiji kiwe kimesajiliwa na kupata Cheti cha Ardhi ya Kijiji
- Kijiji kiwe na jengo linalofaa kwa Masjala ya ardhi ya Kijiji
- Maombi ya kupimiwa na kupata hati miliki ya kimila yapelekwe kwenye Halmashauri ya Kijiji kwa ajili ya mapendekezo ya kuidhinishwa
- Maombi lazima yapitishwe na kuidhinishwa na Mkutano Mkuu wa Kijiji
|
|
|
|
|