Matukio Yaliyopita
Hii ni orodha ya matukio archive kwa robo mwaka. Bonyeza title kwa habari zaidi.
2010 : Quarter 3 2008 : Quarter 1 2007 : Quarter 3
  • Mkutano wa Mashauriano - 31st Jul 07
  •  

    « Angalia orodha ya habari na matukio.


     
     
    • Hakikisha kuwa mipaka ya kijiji imehakikiwa na kupimwa ipasavyo ili kuepusha migogoro ya mipaka na vijiji jirani
    • Kijiji kiwe kimesajiliwa na kupata Cheti cha Ardhi ya Kijiji
    • Kijiji kiwe na jengo linalofaa kwa Masjala ya ardhi ya Kijiji
    • Maombi ya kupimiwa na kupata hati miliki ya kimila yapelekwe kwenye Halmashauri ya Kijiji kwa ajili ya mapendekezo ya kuidhinishwa
    • Maombi lazima yapitishwe na kuidhinishwa na Mkutano Mkuu wa Kijiji
     
     
    • Kutambuliwa na kuainishwa kwa eneo la urasimishaji na Halmashauri husika katika mji, Manispaa au Jiji,
    • Uhamasishaji kwa Uongozi na wananchi wa eneo la urasimishaji,
    • Utayarishaji wa michoro ya mipango miji na kuidhinishwa na mamlaka husika,
    • Upimaji ardhi ya wananchi kulingana na michoro ya mipango miji
    • Uidhinishaji wa ramani za upimaji kwenye mamlaka husika,
    • Utayarishaji na utoaji wa Hati za kumiliki ardhi kwa wamiliki wa ardhi iliyopimwa.
     

       
     
    Jumla 17848