Taarifa kwa Vyombo vya Habari

The Property and Business Formalization Program for Tanzania – MKURABITA is organizing a press conference on the 2010 UN Public Service Awards program whereby Tanzania through MKURABITA emerged a second winner for Africa in the category of “Improving public service delivery”. The event will be held at the Court Yard Hotel, Dar Es Salaam on 22nd July 2010 from 11:00 hours to 14:00 hours.


The Property and Business Formalization Program also known as Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) emerged a Second Winner on the 2010 United Nations Public Service Award.



 
 
  • Hakikisha kuwa mipaka ya kijiji imehakikiwa na kupimwa ipasavyo ili kuepusha migogoro ya mipaka na vijiji jirani
  • Kijiji kiwe kimesajiliwa na kupata Cheti cha Ardhi ya Kijiji
  • Kijiji kiwe na jengo linalofaa kwa Masjala ya ardhi ya Kijiji
  • Maombi ya kupimiwa na kupata hati miliki ya kimila yapelekwe kwenye Halmashauri ya Kijiji kwa ajili ya mapendekezo ya kuidhinishwa
  • Maombi lazima yapitishwe na kuidhinishwa na Mkutano Mkuu wa Kijiji
 
 
  • Kutambuliwa na kuainishwa kwa eneo la urasimishaji na Halmashauri husika katika mji, Manispaa au Jiji,
  • Uhamasishaji kwa Uongozi na wananchi wa eneo la urasimishaji,
  • Utayarishaji wa michoro ya mipango miji na kuidhinishwa na mamlaka husika,
  • Upimaji ardhi ya wananchi kulingana na michoro ya mipango miji
  • Uidhinishaji wa ramani za upimaji kwenye mamlaka husika,
  • Utayarishaji na utoaji wa Hati za kumiliki ardhi kwa wamiliki wa ardhi iliyopimwa.