Bi Jane Lyimo, Mkurugenzi wa Urasimishaji-MKURABITA akiwa na baadahi ya viongozi wa Serikali ya Kijiji cha Lupaso wakati wa ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa Masjala ya Ardhi ya Kijiji cha Lupaso, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi
Bi Jane Lyimo, Mkurugenzi wa Urasimishaji-MKURABITA akiwa na baadahi ya viongozi wa Serikali ya Kijiji cha Magazini-Halmashauri ya Songea Vijijini kwa ajili ya Maandalizi ya Urasimishaji Ardhi Kijiji hapo kwa mwaka wa fedha 2022/23
Bi Jane Lyimo, Mkurugenzi wa Urasimishaji-MKURABITA akiwa na baadahi ya Watendaji wa Manispaa ya Songea wakati wa ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa Kituo Jumuhishi cha Urasimishaji na Uendelezaji Biashara kwa ushirikiano kati ya MKURABITA na Manispaa ya Songea