Tanzania emblem

The United Republic of Tanzania

Property and Business Formalization Program

News

UTOAJI WA HATI HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI


Katibu Tawala wa Wilaya ya Masasi Bw. Mohamed Aziz Fakiri katika picha ya pamoja na Wataalam kutoka Halmashauri ya Wilaya Masasi na wanufaika wa hati katika sherehe la utoaji hati katika kijiji cha Lupaso, Masasi, Tarehe 19.05.2022