Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Ali Ameir akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kuzungumza na wajasiriamali na wafanyabiashara wa Mkokotoni, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa uzinduzi wa Kituo Jumuishi cha Urasimishaji na Uendelezaji wa Biashara, Zanzibar.